25 Nov 2025 11:09 am | Citizen TV 568 views Duration: 1:42 Wasimamizi wa makao ya watoto yatima wameelezea wasiwasi wao kuhusu pendekezo la serikali la kufunga makao hayo na kuwaunganisha watoto na familia zao.