- 3,109 viewsDuration: 3:01"Shalom-Aleykum", "Jumapili Mubarak wakrislamu” - Kwa siku chache sasa salamu hizi zimekuwa ishara za kusawazisha mazungumzo yaliyoanza kuchukua mwelekeo wa mgawanyiko kwa msingi wa dini Tanzania 🇹🇿. - Yusuf Mazimu ameandaa tathmini hii kuhusu udini na siasa za Tanzania na jinsi vijana wa GenZ wanavyopangua njama hii ya kuwagawanya. - - - #genz #tanzaniatiktok #foryou #maandamano #bbcswahili