Skip to main content
Skip to main content

Ndugu na jamaa wakisubiri hatma ya ndugu zao mahakamani

  • | BBC Swahili
    14,253 views
    Duration: 34s
    "Shalom-Aleykum", "Jumapili Mubarak wakrislamu” - Kwa siku chache sasa salamu hizi zimekuwa ishara za kusawazisha mazungumzo yaliyoanza kuchukua mwelekeo wa mgawanyiko kwa msingi wa dini Tanzania 🇹🇿. - Yusuf Mazimu ameandaa tathmini hii kuhusu udini na siasa za Tanzania na jinsi vijana wa GenZ wanavyopangua njama hii ya kuwagawanya. - - - #genz #tanzaniatiktok #foryou #maandamano #bbcswahili