- 186 viewsDuration: 32:21Mara nyingi watu wanapofariki, migogoro ya mali hutokea Baadhi ya jamaa hurithi mali ya marehemu na kusahau watoto wake Urithi huzozaniwa mno katika ndoa za mitala (polygamous) Je, wakenya hujitayarisha vipi kwa maisha baada ya kifo?