25 Nov 2025 1:18 pm | Citizen TV 967 views Duration: 5:45 Tukiangazia uchaguzi wa kiti cha useneta cha Kaunti ya Baringo, Stephen Letoo amekita kambi katika shule ya upili ya wavulana ya Kabarnet akifuatilia maandalizi ya IEBC. Tuungane naye mubashara kwa mengi zaidi