Skip to main content
Skip to main content

Kongamano la uhalifu wa mtandao la Afrika lafanyika Nairobi

  • | Citizen TV
    505 views
    Duration: 3:13
    Wizara ya usalama, kwa ushirikiano na umoja wa Ulaya pamoja na baraza la Ulaya, inaongoza kongamano la tatu la Afrika kuhusu uhalifu wa mtandao hapa jijini Nairobi.