25 Nov 2025 1:47 pm | Citizen TV 20 views Idara ya usalama katika eneo bunge la Butula Kaunti ya Busia imepiga marufuku hafla za disco matanga na kuahidi kukabiliana na uuzaji wa pombe haramu msimu huu wa likizo ndefu.