25 Nov 2025 1:49 pm | Citizen TV 540 views Duration: 1:57 Watetezi wa haki za binadamu wamefanya matembezi ya amani hadi katika mahakama kuu ya Garissa kuwasilisha mapendekezo ya kukabiliana na dhulma za kijinsia katika kaunti hiyo.