- 2,160 viewsDuration: 5:21Maandalizi ya uchaguzi mdogo ya eneo bunge la Malava yameshika kasi huku maafisa wa IEBC wakiongozwa na msimamizi wa uchaguzi katika eneo bunge hilo Salim Abdalla wakiaanda vifaa vitakavyotumika katika upigaji kura siku ya Alhamisi.