- 395 viewsDuration: 4:31Mwandalizi ya uchaguzi ndogo wa Magarini Kaunti ya Kilifi yameshika kasi. Maafisa wa tume ya IEBC wako mbioni kuandaa vifaa vya kupigia kura na kutoa onyo kwa maafisa watakaosimamia zoezi hilo kudumisha maadili baada ya tetesi za wizi wa kura kuibuliwa na kinara wa chama cha DCP Rigathi Gachagua hapo jana.