- 449 viewsDuration: 2:57Matayarisho ya uchaguzi mdogo wa eneo bunge la Ugunja kaunti ya Siaya yanaendelea vyema, ambapo jumla ya wagombea kumi wanamezea mate kiti hicho. Kwa mujibu wa msimamizi wa uchaguzi eneo hilo Dennis Omare, vifaa vya uchaguzi vitasambazwa kutoka shule ya upili ya Ambira ambapo mwanahabari wetu Laura Otieno yupo kutujuza mengi kuhusu uchaguzi mdogo katika eneo hilo