- 9,181 viewsDuration: 33sWatuhumiwa wa kesi ya uhaini akiwemo mfanyabiashara maarufu nchini Tanzania ‘Niffer’ wamefikishwa mahakamani leo Watuhumiwa hawa ambao wamefikishwa Mahakama ya hakimu Mkazi kisutu jijini Dar es Salaam, walikamatwa wakati wa uchaguzi wa Oktoba 29. - - #bbcswahili #tanzania #siasa #maandamano #uchaguzimkuu2025