- 19,177 viewsDuration: 2:05Waziri Mkuu wa Tanzania, Dkt. Mwigulu Nchemba amesema si busara kwa watanzania kutaja idadi ya watu waliokufa kama magari akidai kufanya hivyo kunaongeza machungu kwa wafiwa. - - #bbcswahili #uchaguzi2025 #maandamano #wazirimkuu