Skip to main content
Skip to main content

Viongozi wa NCCK wawataka vijana kutotumiwa vibaya

  • | Citizen TV
    216 views
    Duration: 1:57
    Viongozi wa Baraza la Makanisa nchini (NCCK) kutoka Mashariki mwa nchi sasa wanawataka vijana wasikubali kutumiwa na wanasiasa kuchochea ghasia kwa maslahi ya wanasiasa.