26 Nov 2025 10:35 am | Citizen TV 426 views Duration: 2:13 Walimu wa sekondari msingi JSS katika kaunti ya Tharaka Nithi wametangaza kuwa iwapo serikali haitawapatia ajira ya kudumu hawataingia darasani mwaka ujao.