Skip to main content
Skip to main content

Mawakili waitaka ICC kuchunguza ghasia Tanzania

  • | Citizen TV
    48,907 views
    Duration: 2:18
    Makundi ya kimataifa ya mawakili sasa yanaitaka mahakama ya kimataifa ya ICC kufanya uchunguzi huru kuhusu ghasia na mauaji yaliyoshuhudiwa wakati wa uchaguzi mkuu nchini Tanzania. Mashirika haya yakiongozwa na chama cha mawakili cha Madrid nchini Uhispania yanaripoti dhuluma na mauaji yaliyofanywa na serikali ya Tanzania. Haya yanajiri huku serikali ya Tanzania ikifutilia mbali sherehe za siku ya uhuru nchini humo