- 623 viewsDuration: 1:34Mwekezaji mmoja mwenye asili ya kiitaliano huko mjini Malindi kaunti ya Kilifi amehukumiwa kifungo cha miezi mitatu gerezani au alipe faini ya Shilingi laki tatu na mahakama ya Mazingira na ardhi kwa kukiuka agizo la mahakama ambalo lilimzuia kugawa kipande cha ardhi kinachozozaniwa katika eneo la Watamu.