26 Nov 2025 10:54 am | Citizen TV 294 views Duration: 1:20 Kaunti ya Wajir imepiga hatua muhimu katika huduma za afya baada ya hospitali moja katika eneo la Tarbaj kumsaidia mama kujifungua kwa njia ya upasuaji kwa mara ya kwanza.