Skip to main content
Skip to main content

China yatakiwa kuharakisha uidhinishaji wa bidhaa za kilimo

  • | Citizen TV
    344 views
    Duration: 1:04
    Waziri wa Kilimo, Mutahi Kagwe, amelitaka taifa la Uchina kuharakisha ukaguzi na uidhinishaji wa bidhaa za kilimo na mifugo kutoka Kenya, akisema kucheleweshwa kwa muda mrefu kunazuia mauzo ya bidhaa muhimu kama kahawa na chai. Akizungumza katika mkutano na maafisa wa ngazi ya juu wa Mamlaka ya Forodha ya Uchina, kagwe alisisitiza kuondolewa kwa ushuru wa juu unaofikia hadi asilimia 20 kwa baadhi ya bidhaa za Kenya.