26 Nov 2025 11:06 am | Citizen TV 1,811 views Duration: 2:18 Gavana wa Nyamira Amos Nyaribo kwa mara nyingine tena amebanduliwa na bunge la kaunti kwa tuhuma za utumizi mbaya wa ofisi. Wawakilishi wadi 23 kati ya 31 waliunga mkono hoja ya kumbandua mamlakani.