26 Nov 2025 11:19 am | Citizen TV 1,096 views Duration: 9:57 Kauli ya mwenyekiti wa tume ya IEBC Erastus Ethekon.Uchaguzi mdogo utafanyika maeneo 24 kesho. IEBC yaendelea kusafirisha vifaa vya kupigia kura. Polisi kuimarisha usalama maeneo yenye ushindani mkubwa