Skip to main content
Skip to main content

JUKWAA LA AFYA | Tatizo la uvimbe kwenye Ovari [ Part 1]

  • | Citizen TV
    306 views
    Duration: 22:22
    Uvimbe hutokea katika kifuko cha mayai ya mwanamke. Uvimbe huo uliojaa majimaji mara nyingi si hatari sana. Uvimbe huo unaweza kuisha wenyewe au kupitia upasuaji. Unaweza kusababisha maumivu ya nyonga au kuhisi kushiba. Matibabu hutegemea ukubwa na aina ya uvimbe huo. Unahitaji kufanyiwa ukaguzi wa kina kabla ya matibabu.