Skip to main content
Skip to main content

IEBC yasema itawachukulia hatua watakaovunja sheria katika uchaguzi mdogo utakaofanyika maeneo 24

  • | Citizen TV
    1,017 views
    Duration: 3:13
    Mwenyekiti wa tume huru ya uchaguzi na uratibu wa mipaka Erastus Ethekon amesema kwamba IEBC itamchukulia hatua mtu yeyote atakayevunja sheria za uchaguzi ikiwemo kuwahonga wapigakura, wizi wa kura au kuzua fujo miongoni mwa makosa mengine. Kulingana naye, maafisa wote wa tume hiyo wako tayari kuendesha uchaguzi mdogo ulio huru na wa haki katika maeneo 24 hapo kesho.