Ethiopia: Ni nini kinachosababisha mapigano katika eneo la Tigray?

  • | BBC Swahili
    700 views
    Wakazi katika miji iliyo karibu na eneo Tigray kaskazini mwa Ethiopia wameiambia BBC kuhusu mashambulizi makali ya makombora na uwezekano wa kuibuka kwa mapigano kati ya vikosi vya serikali na waasi wa Tigray. Hii imeweka hatarini usitishaji mapigano kwa maslahi ya kibinadamu uliodumu kwa miezi mitano. #bbcswahili #tigray #ethiopia