- 20,360 viewsDuration: 2:44Mwanamume aliyetolewa jino na daktari bandia katika mtaa wa Kawangware ameaga dunia. Amos Isoka aliyekuwa amelazwa katika hospitali ya rufaa alikofanyiwa upasuaji mara mbili aliaga kwa matatizo yaliyotokana na matibabu aliyopokea awali Kawangware.