- 11,627 viewsDuration: 3:01Umewahi kusikia mara kwa mara kuhusu millennials,Baby Boomers na kizazi maarufu cha Genz-Generation Z. Kwa mujibu wa Dk. Alexis Abramson, mtaalamu wa makundi ya vizazi, anasema mwaka tunaozaliwa una mchango mkubwa katika maadili, mitazamo na tabia tunazoendelea kuwa nazo tunapokua. Hapo ndipo dhana ya vizazi tofauti inapozaliwa kwa kila kizazi kikiwa na sura na mwenendo wake. Mwandishi wa BBC @frankmavura , anaangazia takribani vizazi 8 tofauti vinavyotambulika duniani: - - #bbcswahili #genz #millenial #dunia