Skip to main content
Skip to main content

Uchunguzi wa BBC: Kemikali iliyotumiwa na polisi ina sumu

  • | BBC Swahili
    10,586 views
    Duration: 1:46
    Uchunguzi wa BBC umebaini kuwa mamia ya waandamanaji nchini Georgia huenda waliathiriwa na kemikali hatari wakati wa maandamano ya kupinga serikali mwaka uliopita, baada ya mamlaka kutumia silaha ya kemikali ya enzi za Vita Kuu ya Kwanza kudhibiti umati. Waandamanaji mjini Tbilisi wanasema walihisi kama maji waliyomwagiwa yaliunguza ngozi, pamoja na kupata dalili kama kupumua kwa shida, kikohozi na kutapika vilivyodumu kwa wiki kadhaa - - Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw