- 17,120 viewsDuration: 3:23Mabalozi wa mataifa 17 wa bara ulaya na Marekani wanaishinikiza serikali ya Tanzania kufanya uchunguzi huru kuhusiana na mauaji ya raia wakati wa machafuko ya uchaguzi nchini humo. mabalozi hao wanataka mashirika ya kijamii na kidini , pamoja na wanasiasa kutoka pande zote kujumuishwa kwenye kamati iliyoundwa ili kufanya uchunguzi huru na wa haki na kubaini ukweli.