Skip to main content
Skip to main content

KNCHR inamtaka Rais Ruto kuonyesha nia njema ya kisiasa

  • | Citizen TV
    289 views
    Duration: 1:16
    Tume ya kitaifa kuhusu haki za binadamu - KNCHR - imemtaka Rais William Ruto na wabunge kuonyesha nia njema ya kisiasa na kubuni mikakati ya kuwafidia waathiriwa wa ghasia zilizotokea wakati wa maandamano.