Skip to main content
Skip to main content

Kalonzo Musyoka aitaka ODM kujihadhari na serikali

  • | Citizen TV
    3,132 views
    Duration: 3:10
    Muungano wa Upinzani umewataka viongozi wa chama cha ODM kujirejelea na kutathimini Upya uwepo wao ndani ya Serikali. Wakiongozwa na kinara wa wiper kalonzo musyoka na kinara wa dap-k eugene wamalwa, viongozi hao wamewataka wanaODM kufuata azma ya hayati Raila Odinga Kuhusu ODM kuwa na Mgombea wa Urais kwenye uchaguzi wa mwaka wa 2027.