Skip to main content
Skip to main content

Je unajua jinsi bakteria wa kwenye uke wanavyoweza kusaidia afya yako?

  • | BBC Swahili
    13,139 views
    Duration: 2:25
    Bakteria wanaoishi kwenye uke wana jukumu muhimu katika kulinda afya ya mwanamke na ustawi wa mwili mzima. Uke ni mazingira ya kipekee yenye maelfu ya aina tofauti za bakteria, virusi na kuvu vinavyoshindana kwa virutubisho na nafasi. - Wakati microbiome ya uke iko salama na yenye usawa, inaweza kusaidia kuzuia magonjwa, kuboresha kinga na hata kuongeza uwezekano wa kupata mimba yenye afya. Mwandishi wa BBC Phillys Mwatee na taarifa zaidi: - - #bbcswahili #afya #wanawake Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw