- 17,484 viewsDuration: 1:41Msongamano mkubwa wa wananchi umeshuhudiwa hivi karibuni katika masoko na maduka makubwa nchini Tanzania, huku wakazi wakinunua chakula, maji, na bidhaa nyingine muhimu kwa wingi. Hali hii ya ununuzi wa dharura imehusishwa moja kwa moja na hofu ya kufanyika maandamano mengine ambayo yamepigwa marufuku na Jeshi la Polisi tarehe 9 Disemba. Wakati baadhi ya wananchi wanajitayarisha kwa hofu ya kukosekana kwa bidhaa, wengine wanasema ni tahadhari ya kudhibiti hatari zinazoweza kutokea kutokana na machafuko ya kisiasa. - - #bbcswahili #maandamano #Siasa #tanzania🇹🇿 Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw