- 45,573 viewsDuration: 28:10Serikali ya Tanzania imewataka wananchi kusalia majumbani mnamo kesho Desemba 9, siku ambayo huadhimishwa kila mwaka kama Siku ya Uhuru wa Tanganyika. Kauli hiyo imetolewa leo na Waziri Mkuu, Mwigulu Nchemba, kufuatia kuibuka kwa taarifa za wito wa maandamano unaosambaa kupitia mitandao ya kijamii, hatua iliyoifanya serikali kuongeza tahadhari kuelekea siku hiyo muhimu ya kitaifa. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili https://www.youtube.com/channel/UCoerKKIKIMlDYaVFSTlsWGw