Skip to main content
Skip to main content

Madai ya hoteli kujengwa kwenye kivuko cha Maasai Mara yazua zogo

  • | Citizen TV
    10,868 views
    Duration: 5:01
    Kwa takriban miezi mitano sasa, taarifa kuhusu hoteli iliyodaiwa kujengwa kwenye kivuko cha Mara kimeibua mdahalo mtandaoni. Hoteli hiyo ya Ritz Carlton sasa ina kibarua cha kujitetea mahakamani baada ya mwanaharakati wa mazingira Joel Meitemei kuishtaki na kutoa ombi kwa mahakama kuamuru kuwa hoteli hiyo iondolewe. Nilisafiri hadi Masai Mara kubaini ukweli wa mambo