- 291 viewsDuration: 2:03Rais William Ruto ameagiza wadau wa kukabiliana na maganja kukutana katika saa 24 ili kutathmini tahadhari iliyotolewa na Idara ya Utabiri wa Hali ya Anga kuhusu hali ya ukame nchini. Naibu rais Profesa Kithure Kindiki amesema kufuatia ushauri wa wataalam, kuna haja ya kuweka maandalizi kabambe ili kuzuia maafa kutokana na athari ya ukame, akisisitiza kuwa serikali itakahikisha kuwa chakula cha kutosha kimesambaziwa kwa wanaokabiliwa na baa la njaa.