- 171 viewsDuration: 1:48Licha ya serikali ya kitaifa kulegeza masharti ya kutoa vitambulisho vya kitaifa, idadi kubwa ya wananchi katika kaunti ya Busia wangali wanapitia changamoto ya kupata stakabadhi hiyo muhimu na hivyo basi kukosa kupata huduma muhimu.