11 Dec 2025 10:42 am | Citizen TV 261 views Duration: 1:35 Zaidi ya bunduki haramu 1,200 zilizokuwa mikononi mwa wananchi Kaskazini mwa Bonde la Ufa zimerejeshwa.