- 196 viewsDuration: 1:18Kufikia sasa jumla ya hektari 3.5 za msitu zimeharibiwa na mto huku wito ukitolewa kwa wakaazi wa Kaunti ya Narok hasa wakulima kuwa waangalifu wanapochoma taka na pia waandalizi wa sherehe za tohara misituni wanapotumia moto.