Skip to main content
Skip to main content

DCI waanzisha uchunguzi wa kifo cha aliyekuwa mbunge wa Lugari Cyrus Jirongo

  • | Citizen TV
    12,335 views
    Duration: 2:42
    Kitengo cha uchunguzi wa jinai na wataalam wa maswala ya upelelezi wameanzisha uchunguzi wa kifo cha mbunge wa zamani wa Lugari Cyrus Jirongo. Tayari polisi hao wamepata picha za CCTV kutoka kwa kituo cha petroli eneo kulikotokea ajali, pamoja ma taarifa za mashahidi muhimu kwenye uchunguzi. Kumekuwa na maswali kuhusu haswa kilichojiri baada ya jirongo kuondoka eneo la karen hapa nairobi na kisha kupatikana kwenye ajali ya barabarani eneo la naivasha kaunti ya Nakuru.