Skip to main content
Skip to main content

Tume ya EACC yawaonya wanaopokea hongo barabarani

  • | Citizen TV
    283 views
    Duration: 1:41
    Tume ya maandili na kupambana na ufisadi(EACC)imewaonya madereva na maafisa wa polisi dhidi ya kujihusisha na visa vya ufisadi barabarani.