Skip to main content
Skip to main content

Mshukiwa akamatwa na mitungi 60 ya mafuta ya petroli huko Garissa

  • | Citizen TV
    221 views
    Duration: 1:13
    Maafisa wa usalama katika mji wa Garissa wamnasa mshukiwa mmoja na mitugi zaidi ya sitini ya mafuta ya petroli inayouzwa kimagendo na baadhi ya wanabiashara viungani mwa mji huo.