19 Dec 2025 1:04 pm | Citizen TV 95 views Duration: 1:25 Mahakama ya Ardhi na Mazingira ya Kwale imeamuru kampuni ya Bamburi Cement pamoja na wakaazi 48 wa kijiji cha Mwachome kusuluhisha mgogoro wao wa ardhi kupitia upatanisho nje ya mahakama.