19 Dec 2025 1:12 pm | Citizen TV 501 views Duration: 2:23 Serikali inaendelea kuimarisha mpango wa ujenzi wa nyumba za bei nafuu katika kaunti ya Murang’a, huku mradi wa Makenji ukikaribia kukamilika.