Skip to main content
Skip to main content

Gavana wa Kaunti ya Trans Nzoia, George Natembeya akashifu hazina ya kitaifa

  • | Citizen TV
    658 views
    Duration: 1:39
    Gavana wa Kaunti ya Trans Nzoia, George Natembeya, ameikosoa vikali Wizara ya Fedha kwa kuchelewesha utoaji wa fedha kwa serikali za kaunti, hatua ambayo amesema inadhoofisha pakubwa ugatuzi na kusababisha kudorora kwa utekelezaji wa miradi ya maendeleo mashinani.