Halmashauri ya kitaifa ya uchukuzi na usalama barabarani - NTSA, imewaonya madereva dhidi ya kuvivuruga vidhibiti mwendo. Oparesheni ya ghafla iliofanywa na halmashauri hiyo ya NTSA kwenye barabara kuu ya Nakuru –Nairobi, ilibainisha kwamba licha ya vidhibiti mwendo kuwekwa kwenye magari ya uchukuzi wa umma, vimevurugwa huku vingine vikikosa kufanya kazi. Aidha, madereva wameonywa dhidi ya kuendesha magari wakiwa walevi.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive