Hatibu wa serikali, Isaac Mwaura, amewakosoa vikali watu wanaopinga na kukosoa rekodi ya maendeleo ya serikali, akisema wao ni maadui wa maendeleo. Akizungumza jijini Nairobi wakati wa kuwasilisha ripoti ya utekelezaji wa maendeleo ya serikali ya mwaka 2025, Mwaura alisema kuwa Kenya imepiga hatua kubwa katika sekta zote za kiuchumi. Na jinsi anavyotuarifu mwanahabari wetu Timothy Kipnusu, Mwaura amesema safari ya Kenya kuwa taifa lililostawi kiuchumi haiwezi kusitishwa.
Connect with KBC Online;
Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc
Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1
Find us on Facebook: https://www.facebook.com/kbcchannel1TV
Check our website: https://www.kbc.co.ke/
#kbcchannel1 #news #kbclive