- 6,741 viewsDuration: 3:10Hali ya switafahamu ilitanda katika hospitali ya st. Mary's lang'ata kufuatia mzozo w aumiliki wa hospitali hiyo. Kundi la watu walioaminika kuwa wahuni lilivamia hospitali hiyo kuanzia lango kuu la hospitali hii hadi katika afisi na nyumba binafsi za wakurugenzi.