Skip to main content
Skip to main content

Taharuki Barrikoi kufuatia mapigano, watu saba wauawa Transmara

  • | Citizen TV
    1,654 views
    Duration: 3:12
    Hali ya taharuki inaendelea katika eneo la Ang'ata Barrikoi kaunti ya Narok huku wakazi wakizidi kuhama kwao kufuatia mapigano mapya ambayo yamekuwa yakiendelea kwa wiki moja sasa. Maafisa wa usalama wamethibisha kuwa watu 7 wameuwawa katika kipindi cha wiki tatu kufuatia mzozo kati ya jamii mbili eneo hilo. Aidha jumla ya nyumba 126 zimeteketezwa na sasa wakimbizi wametafuta hifadhi katika shule mbalimbali .