- 7,203 viewsDuration: 1:52Makachero kutoka idara ya upelelezi DCI wameendeleza uchunguzi wa kifo cha aliyekuwa mbunge wa Lugari Cyrus Jirongo katika hoteli nyingine jijini Nairobi alimoonekana siku ya mwisho kabla ya ajali. Haya yanajiri huku makachero hao wakiendelea kuwahoji watu waliokuwa na Jirongo kabla ya kupata ajali katika eneo la Karai, Naivasha.