- 422 viewsDuration: 4:32Utumizi wa teknolojia katika maswala ya utunzaji wa mazingira umekuwa kigezo muhimu cha kuhifadhi mazingira na kupunguza migogoro kati ya binadamu na wanyamapori katika eneo la ontulili kaunti ya laikipia. Kikundi cha kinamama cha ontulili primates protection kinatumia teknolojia ya darubini na rununu kunakili data ya aina ya miti ya kiasili inayotumiwa na wanyama kama kima aina ya mbega na pia hesabu ya wanyama hao ambao idadi yao inapunguka kila uchao.